JINSI YA KUANGALIA NAMBA YA NIDA KWENY LAIN YAKO
Kama umesajilia lain kwa nida Yako au unataka kujua aliyesajilia lain kwa nida unayo Tumia ww ni simple sana
Tuanze na mtandao wa
1. YAS/TIGO
Piga menu ya mix by yas *150*01#
Kisha namba 6 jihudumie
Kisha namba 6 huduma kwa wateja
Kisha namba 2
baada ya hapo utaweka namba ya Siri kisha utaona taarifa zako
2. Airtel
Piga menu ya Airtel money *150*60#
Kisha namba 7
Kisha namba 5 angalia usajili wangu
Utaweka namba ya Siri then utasubiria baada ya hapo utabonyeza 1
Njia hii itaonesha namba ya NIDA iliyo sajilia lain unayo Tumia kwa mda huo
KWA LAINI NYINGINE BADO SIJAJUA SO NIPENI MDA NITAMALIZIA PALIPO BAKI
More reaction endelea Kushare link
Kama umesajilia lain kwa nida Yako au unataka kujua aliyesajilia lain kwa nida unayo Tumia ww ni simple sana
Tuanze na mtandao wa
1. YAS/TIGO





2. Airtel






More reaction endelea Kushare link