Search results

  1. Veen

    Matokeo Darasa la Nne 2016 | NECTA Standard Four Results 2016

    This assessment is taken by students in the fourth year of their primary school studies and is used as a measure of their academic performance. It is important for students to prepare for this test and to understand how to access their results when they have been released. This article will...
  2. Veen

    Matokeo Darasa la Nne 2017 | NECTA Standard Four Results 2017

    This assessment is taken by students in the fourth year of their primary school studies and is used as a measure of their academic performance. It is important for students to prepare for this test and to understand how to access their results when they have been released. This article will...
  3. Veen

    Sifa za Kujiunga na Diploma ya Ualimu Tanzania

    Diploma ya Ualimu (NTA Level 6) ni mojawapo ya kozi za mafunzo ya ualimu zinazotolewa na vyuo vya serikali na visivyo vya serikali nchini Tanzania, chini ya usimamizi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET). Kozi hizi...
  4. Veen

    Ajira 526 Mpya za KIDATO CHA NNE na Juu Zaidi Serikalini Utumishi Julai 2025

    AJIRA MPYA SERIKALINI 2025 | AJIRA MPYA AJIRA PORTAL 2025 | AJIRA MPYA UTUMISHI 2025 | NAFASI ZA KAZI 2025 New Government Jobs at Utumishi July 2025, Government Jobs Opportunities Various Sectors, Ajira Mpya UTUMISHI 2025, Nafasi Za Kazi Serikalini 2025, Ajira Mpya UTUMISHI July 2025, Utumishi...
  5. Veen

    Je hili swali kwenye usaili unalijibuje? Unataka mshahara tukulipe shingapi ?

    Swali la usaili “Unataka tukulipe mshahara wa shilingi ngapi?” linaweza kuwa gumu kwa wengi, lakini ni fursa ya kuonyesha uelewa wako wa nafasi, thamani yako, na uwezo wa kujieleza kwa ujasiri. Jibu bora linapaswa kuwa la kitaalamu, lenye mantiki na linaloonyesha kuwa umefanya utafiti. Hapa...
  6. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    Sawa, sasa hapo cha kufanya ni kwenda serikali ya Kijiji, chukua Fomu na ukishajaza na kuwekewa mihuri husika, peleka ofisi za NIDA wilayani, ambatanisha vielelezo kama vile, cheti cha kuzaliwa, Cheti cha Darasa la 7, Kadi ya Ubatizo, kadi ya mpiga kura nk, vyenye majina yako kwa mpangilio...
  7. Veen

    Habari wadau

    Habari wadau
  8. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    nenda wilaya uliojiandikisha uchukue kitambulisho
  9. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    unatakiwa uende kujisajili ili uweze kupata hyo namba ya NIDA
  10. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    unatakiwa uende kujisajili ili uweze kupata hyo namba ya NIDA
  11. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    Naam, maana yake imefungiwa hiyo, chakufanya ni kwenda NIDA wilayani ulikojiandikishia kuchukua kitambulisho chako
  12. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    kama una namba ya nida tu na bado haujapata kitambulisho. jaribu kusajili namba mpya. ukiona inagoma hapo jua imefungiwa..
  13. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    Hadi uende Wilaya ulikojiandikishia. au kama ulijiandikisha miaka kadhaa nyuma utaenda kwenye ofisi za kata ulikojiandikishia kama makazi yako ya kudumu
  14. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    Ndio nenda wilaya uliojiandikisha uchukue kitambulisho. maana walitoa mwezi mmoja kwa wasiochukuwa vitambulisho vyao. km kilikosewa na hakipo watatuma taarifa zako makao makuu. na namba yako itaendelea kutumika kama kawaida ndani ya masaa 24
  15. Veen

    Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

    Hello Sorry nipende kuuliza . Kuna njia/ utaratib wowote unawez kufuata ili kwa ambaye amefungiwa matumiz ya NIDA Namba iweze kufunguliwa
Back
Top