kuitwa kazini

  1. Rolito

    Walioitwa Kazini Kutoka UTUMISHI

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni idara huru ya serikali inayosimamia na kurahisisha mchakato wa kuajiri wafanyakazi kwa ajili ya huduma za umma. Angalia orodha ya majina ya walioitwa kazini kupitia UTUMISHI (Kuitwa Kazini - Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma)...
  2. UJ Expert

    Waliochaguliwa Air Tanzania - Kampuni ya Ndege ATCL

    Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa mchujo wa kada mbalimbali uliofanyika tarehe 5 Julai, 2025 katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE). Matokeo ya usaili huo yameainishwa kwenye jedwali hapa chini; Pakua PDF hapa...
Back
Top