Uni Jamii

Habari Ndugu, Ili Kuendelea kufaidika na Taarifa zeru Muhimu , karibu ujisajili!

usaili

  1. Rolito

    Nafasi ya Ajira ya TAX AND TREASURY MANAGER Kutoka Helios Towers

    Post Title: Tax and Treasury Manager Job location: Dar es Salaam Employer: Helios Towers The Helios Towers is a significant independent telecoms infrastructure company with one of the largest tower portfolios in Africa and the Middle East. It creates, owns, and operates telecom passive...
  2. Rolito

    Tangazo la Kuitwa kwenye USAILI (INTERVIEW) Serkalini | UTUMISHI (PSRS)

    Tangazo la Kuitwa kwenye USAILI (INTERVIEW) Serkalini | UTUMISHI (PSRS) The PSRS (Public Service recruitment Secretariat) is a government organization having the status of an independent Department that was established primarily to streamline the recruiting process for employees in the Public...
  3. UJ Expert

    Maswali 10 yanayoulizwa sana kwenye Usaili wa Kazi za Tanzania.

    Haya ni baadhi ya maswali ya kawaida yanayoulizwa kwenye usaili (interview), pamoja na vidokezo vya namna bora ya kuyajibu: --- 1. Tueleze kuhusu wewe Lenga mambo ya kitaaluma (elimu, uzoefu wa kazi, ujuzi maalum). Usielezee maisha binafsi sana. Mfano: Nina shahada ya uhasibu kutoka Chuo...
  4. Veen

    Je hili swali kwenye usaili unalijibuje? Unataka mshahara tukulipe shingapi ?

    Swali la usaili “Unataka tukulipe mshahara wa shilingi ngapi?” linaweza kuwa gumu kwa wengi, lakini ni fursa ya kuonyesha uelewa wako wa nafasi, thamani yako, na uwezo wa kujieleza kwa ujasiri. Jibu bora linapaswa kuwa la kitaalamu, lenye mantiki na linaloonyesha kuwa umefanya utafiti. Hapa...
  5. UJ Expert

    Waliochaguliwa Air Tanzania - Kampuni ya Ndege ATCL

    Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa mchujo wa kada mbalimbali uliofanyika tarehe 5 Julai, 2025 katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE). Matokeo ya usaili huo yameainishwa kwenye jedwali hapa chini; Pakua PDF hapa...
Back
Top