Uni Jamii

Habari Ndugu, Ili Kuendelea kufaidika na Taarifa zeru Muhimu , karibu ujisajili!

usajili

  1. UJ Expert

    Simba SC Inasajili kimya kimya, Washabiki msiwe na Hofu- Ahmed Ally

    Klabu ya Simba imethibitisha kuwa viongozi wake wakuu wamekuwa wakikutana kila siku kujadili usajili na kupanga mikakati mikubwa ya msimu ujao, huku wakitoa taarifa rasmi kwamba wameendelea na Kocha Mkuu Fadlu Davids kwa msimu mwingine—tukitambua ilikua kazi ngumu sana kumshawishi kubaki...
  2. UJ Expert

    Florent Ibenge alivyomrejesha Aishi Manula katika klabu ya Azam Fc

    Azam FC imerudisha kipa Aishi Manula katika kikosi chake, akitoka Simba SC, akisaini mkataba wa miaka mitatu utakaomshikilia klabuni hadi 2028. Ujumbe rasmi wa usajili huo ulitangazwa jana, ingawa habari za kuhamia kwake zilianze kuorodheshwa tangu Juni 11, 2025. Kipa huyo aliwasili Chamazi...
  3. UJ Expert

    Wasauzi wafika bei kumchukua Steven Desse Mukwala

    MABOSI wa Simba wanaendelea kusuka kikosi hicho kimyakimya kwa mapendekezo ya kocha Fadlu Davids, aliyepo mapumziko kwa sasa, lengo likiwa ni kurudi katika msimu mpya wa mashindano wakiwa wa motoo.
Back
Top