Uni Jamii

Habari Ndugu, Ili Kuendelea kufaidika na Taarifa zeru Muhimu , karibu ujisajili!

Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa njia ya simu

VeenVeen is verified member.

Administrator
Staff member
JINSI YA KUANGALIA NAMBA YA NIDA KWENY LAIN YAKO

Kama umesajilia lain kwa nida Yako au unataka kujua aliyesajilia lain kwa nida unayo Tumia ww ni simple sana

Tuanze na mtandao wa

1. YAS/TIGO

👉 Piga menu ya mix by yas *150*01#
👉 Kisha namba 6 jihudumie
👉 Kisha namba 6 huduma kwa wateja
👉 Kisha namba 2 🥲 baada ya hapo utaweka namba ya Siri kisha utaona taarifa zako


2. Airtel

👉 Piga menu ya Airtel money *150*60#
👉 Kisha namba 7
👉 Kisha namba 5 angalia usajili wangu
👉 Utaweka namba ya Siri then utasubiria baada ya hapo utabonyeza 1



📌 Njia hii itaonesha namba ya NIDA iliyo sajilia lain unayo Tumia kwa mda huo


😩KWA LAINI NYINGINE BADO SIJAJUA SO NIPENI MDA NITAMALIZIA PALIPO BAKI



More reaction endelea Kushare link
 
Back
Top