Sawa, sasa hapo cha kufanya ni kwenda serikali ya Kijiji, chukua Fomu na ukishajaza na kuwekewa mihuri husika, peleka ofisi za NIDA wilayani, ambatanisha vielelezo kama vile, cheti cha kuzaliwa, Cheti cha Darasa la 7, Kadi ya Ubatizo, kadi ya mpiga kura nk, vyenye majina yako kwa mpangilio sahihi. utaingizwa kwenye mfumo na utapewa NIDA namba yakoHello
Sorry nipende kuuliza .
Kuna njia/ utaratib wowote unawez kufuata ili kwa ambaye amefungiwa matumiz ya NIDA Namba iweze kufunguliwa
20000919572090000125 Jaribu kusajili line mpya ikigoma ujue imefungiwa
Me nambaa yangu ya nida inagoma kuletaa taarifaa zangu kwenye ajira portal na tahesa shidaa inakuwa nn
Mimi Sina Namba ya Nida ndaipateje?Hello
Sorry nipende kuuliza .
Kuna njia/ utaratib wowote unawez kufuata ili kwa ambaye amefungiwa matumiz ya NIDA Namba iweze kufunguliwa
unatakiwa uende kujisajili ili uweze kupata hyo namba ya NIDAMimi Sina Namba ya Nida ndaipateje?
maximum miezi mitatuIvi ukibadilisha tarifa kwa mfano jina lilokosewa inachukua Muda gani kubadiika?
Samahan nawezaje kujua Kama nida yangu imetoka