Uni Jamii

Habari Ndugu, Ili Kuendelea kufaidika na Taarifa zeru Muhimu , karibu ujisajili!

Wadau kama namba yangu ya NIDA imefungiwa, nafanyaje kuirejesha?

Solution
Hello
Sorry nipende kuuliza .
Kuna njia/ utaratib wowote unawez kufuata ili kwa ambaye amefungiwa matumiz ya NIDA Namba iweze kufunguliwa
Sawa, sasa hapo cha kufanya ni kwenda serikali ya Kijiji, chukua Fomu na ukishajaza na kuwekewa mihuri husika, peleka ofisi za NIDA wilayani, ambatanisha vielelezo kama vile, cheti cha kuzaliwa, Cheti cha Darasa la 7, Kadi ya Ubatizo, kadi ya mpiga kura nk, vyenye majina yako kwa mpangilio sahihi. utaingizwa kwenye mfumo na utapewa NIDA namba yako

Back
Top