Walioitwa Kazini Kutoka UTUMISHI



1753557156332.webp

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni idara huru ya serikali inayosimamia na kurahisisha mchakato wa kuajiri wafanyakazi kwa ajili ya huduma za umma.

Angalia orodha ya majina ya walioitwa kazini kupitia UTUMISHI (Kuitwa Kazini - Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma) kwa mwaka 2025.

Taasisi inatafuta waombaji wa kazi kwa ajili ya kufanya kazi katika taasisi mbalimbali:


Julai 2025

 
Last edited:
Back
Top