Employer: NMB Bank
Kuhusu Benki ya NMB Tanzania
NMB Bank Plc ni miongoni mwa benki kubwa za kibiashara nchini Tanzania, ikitoa huduma mbalimbali za kifedha kwa wateja binafsi, wafanyabiashara wadogo na wa kati, taasisi za serikali, mashirika makubwa na sekta ya kilimo. Benki hii ilianzishwa mwaka 1997 chini ya Sheria ya Kuanzishwa kwa Benki ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha, kufuatia mgawanyo wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ya zamani uliotekelezwa kwa mujibu wa sheria ya Bunge. Wakati wa mgawanyo huo, taasisi tatu mpya ziliundwa:
1. NBC Holdings Limited
2. National Bank of Commerce (1997) Limited
3. National Microfinance Bank Limited
Bonyeza link hapo chini kusoma maelezo ya nafasi za ajira kutoka Benki ya NMB
JIna la Kazi: Credit Operations Officer; Retail (Fixed term 2 years) - 1 Position
JIna la Kazi: Head; Business Banking Commercial - 1 Position
JIna la Kazi: Quality Assurance Tester (Re-advertised) - 1 Position
JIna la Kazi: Sales Manager; Groups - 1 Position
JIna la Kazi: Senior Manager; Client Origination - 1 Position
JIna la Kazi: Specialist; Enterprise Architect - 1 Position